728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, March 8, 2017

  WAKAZI WA KATA YA WINO – MADABA MKONI RUVUMA WACHANGIA MILIONI 30 ILI KUKAMILISHA MRADI WA MAJI SAFI.

  Mbunge wa Jimbo la Madaba Joseph Mhagama akichangia Shilingi milioni 7 kwa ajili ya kukamilisha mradi wa maji
  ..............................
  Wakazi wa kata ya WINO halmashauri ya wilaya ya MADABA mkoani Ruvuma, wamechukua jukumu la kuchangishana fedha kwa ajili ya kukamilisha mradi wa maji unaogharimu kiasi cha shilingi million sabini ili kuondokana na kelo ya maji.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAKAZI WA KATA YA WINO – MADABA MKONI RUVUMA WACHANGIA MILIONI 30 ILI KUKAMILISHA MRADI WA MAJI SAFI. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top