728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, March 14, 2017

  WAFANYABIASHARA WADOGO DODOMA KUNUFAIKA NA MPANGO WA SERIKALI KUHAMIA DODOMA

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan , amewataka viongozi wa mkoa wa Dodoma wahakikishe wanatenga haraka maeneo maaluma kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo ili nao waweza kunufaika na mpango wa Serikali kuhamia mkoani Dodoma , Kwa undani wa habari hii bonyeza play.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAFANYABIASHARA WADOGO DODOMA KUNUFAIKA NA MPANGO WA SERIKALI KUHAMIA DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top