728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, March 14, 2017

  VIJANA WA KAZI MOUNTI MERU RICKERNEST BAND WAHIDI MAKUBWA NDANI YA JIJI LA ARUSHA NA MIKOA YOTE YA TANZANIA


  waimbaji wakiwa wanaendelea kupata burudani na mashabiki

  wanenguaji hatari kutoka bendi ya Rickinest Band wakionyesha uwezo wao wa kukata mauno jukwaani 
   
  vijana wa kazi kaskazini Arusha wakitoa burudani ya nguvu ndani ya Triple A sport bar bendi town ijulikanayo kama Mounti Meru Rickernest


  waimbaji wa bandi ya Rickinest wakiwa wanaserebuka pamoja na wadau wa muziki wa bandi mkoani Arusha  Apa mzuka ulikuwa umepanda hatari waliamua kuonyesha makeke ya kila aina 
   


  washabiki wa bandi ya Rickinest wakiwa wana show love kwa pamoja mara baada ya burudani kukolea


  wanadada wa A-Town waliouthuria katika show hiyo ya Mounti Meru Rickinest Band wakiwa katika pozi


  Wa kwanza kushoto ni shabiki mkuu wa band ya Rickinest music band Omary Matelephone akiwa anabadilishana mawazo na shabiki mwenzake ambalo jina lake alikuweza kufahamika mara moja


  mmoja wa wakurunzi wa band hiyo wa kwanza kulia akiwa anaserebuka sebene la nguvu wakati wanamuziki wakifanya yao (picha zote na Woinde Shizza,Arusha)


  Bendi hii ya Mounti Meru Rickernest bandi inafanya onyesho lake kila siku ya ijumaa ,jumamosi na jumapili katika ukumbi wa Triple A sport bar

  Bendi hii ni mpya na imeaidi kutoa burudani ya nguvu kwa mikoa yote ya hapa nchini
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: VIJANA WA KAZI MOUNTI MERU RICKERNEST BAND WAHIDI MAKUBWA NDANI YA JIJI LA ARUSHA NA MIKOA YOTE YA TANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top