728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, March 19, 2017

  USIKU WA MISS PENDO KISAKA NA MWANAHABARI GEORGE BINAGI WAFANA.

  Jana ijumaa March 17,2017 kuamkia leo jumamosi, ilikuwa ni siku muhimu kwa Malikia wa nguvu, Pendo Kisaka, ambapo ndugu, jamaa na marafiki zake walijumuika naye kwenye Sendoff yake kuelekea kwenye ndoa anayotarajiwa kufunga na mwanahabari/ mwanablogu, George Binagi, March 26,2017 Jijini Mwanza.

  Shughuli ilifanyika katika ukumbi wa Heinken, Mbagala Kijichi Jijini Dar es salaam. Ni mwendeleo wa kuelekea kwenye ndoa takatifu ya wawili hao iliyotangazwa March 12,2017 kanisa la EAGT Lumala Mpya Jijini Mwanza.
  BMG
  Bibi harusi mtarajiwa akimvisha saa mmewe mtarajiwa
  Bibi harusi mtarajiwa (kulia) na best lady wake (kushoto)
  Bibi harusi mtarajiwa akiwakabidhi keki wazazi wake na kusema ahsante kwa malezi yenu bora
  Bibi harusi mtarajiwa, Pendo Kisaka (katikati), akimtambulisha mmewe mtarajiwa, George Binagi (kushoto)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: USIKU WA MISS PENDO KISAKA NA MWANAHABARI GEORGE BINAGI WAFANA. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top