728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, March 21, 2017

  UJUMBE MZITO KUTOKA CHINA WAWASILI DAR ES SALAAM, LEO

  Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akimkaribisha Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Guo Jinlong, alipowasili na ujumbe wake, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga. (Picha na Bashir Nkoromo).
  Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Guo Jinlong, baadaya kumookea na ujumbe wake, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: UJUMBE MZITO KUTOKA CHINA WAWASILI DAR ES SALAAM, LEO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top