728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, March 21, 2017

  TANZANIA YATILIANA SAINI NA MFUKO WA MAENDELEO KIUCHUMI WA KUWAIT

   Waziri wa Fedha na Mipango , Dk. Philip Mpango akisaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Chahua hadi Chaya  kwa mkopo wa Dola Milioni 51 za kimarekani, katika shughuli iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Hazina, jijini Dar es salaam leo.
   Naibu Mkurugenzi wa mfuko wa wa Kuwait , Hamad Al-Omar  akiabadilishana mkataba na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk .Philip Mpango.
   Baadhi ya wajumbe kutoka nchini Kuwait wakishuhudia tendo hilo la utiaji Sahii
   Viongozi wa ngazi za juukutoka Wizara ya Fedha na Mipango wakishuhudia kitendo hicho cha utiaji Sahini.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TANZANIA YATILIANA SAINI NA MFUKO WA MAENDELEO KIUCHUMI WA KUWAIT Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top