728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, March 17, 2017

  TAASISI YA USAMBARA DEVELOPMENT INITIATIVE (UDI) YACHANGIA MAENDELEO WILAYANI LUSHOTO

   Wanafunzi wa shule ya secondari viti kata ya shume wilayani Lushoto wakipokea mifuko ya saruji yenye thamani ya shilingi laki tano kwa ajili ya ujenzi wa choo kutoka kwa taasisi ya USAMBARA DEVELOPMENT INITIATIVE (UDI) ikiwa ni katika kuchangia juhudi za Mh. Mbunge wa Mlalo mh. Rashid Shangazi za kuleta maendeleo jimboni hapo.
   Diwani wa kata ya Vuga wilayani Lushoto mh. Dhahabu jumaa akipokea miche ya miti kutoka kwa taasisi ya USAMBARA DEVELOPMENT INITIATIVE , ikiwa ni juhudi za kuendeleza na kutunza mazingira wilayani Lushoto, pichani anayekabidhi ni katibu Mkuu wa UDI DIckson shekivuli na naibu katibu Mkuu Frank shempemba
  Diwani wa kata ya vuga wilayani Lushoto mh. Dhahabu Ijumaa, akipokea dawa kutoka kwa taasisi ya USAMBARA DEVELOPMENT INITIATIVE (UDI) kwa ajili ya zahanati ya vuga.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TAASISI YA USAMBARA DEVELOPMENT INITIATIVE (UDI) YACHANGIA MAENDELEO WILAYANI LUSHOTO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top