728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, March 16, 2017

  SERIKALI YA WATU WA CHINA YAKABIDHI MSAADA WA DAWA KWA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR WENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 420

   Balozi mdogo wa China aliepo Zanzibar Xie Xiaowu akimkabidhi Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo msaada wa dawa uliotolewa na Serikali ya China makabidhiano haya yamefanyika Bohari Kuu ya dawa Maruhubi Mjini Zanzibar.
   Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo na Balozi mdogo wa China aliepo Zanzibar  Xie Xiaowu wakisaini hati ya makabidhiano ya dawa zilizotolewa Serikali ya watu wa China.
   Wafanyakazi wa Bohari Kuu ya Dawa Zanzibar na wanafunzi wa fani ya ufamasia wakifuatilia sherehe ya kukabidhiwa dawa zilizofanyika Bohari Kuu ya Maruhubi.

  Mkurugenzi wa Bohari Kuu ya Dawa Zanzibar Zahran Ali Hamadi akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu kubore kwa hali ya dawa Zanzibar baada ya Waziri wa Afya Zanzibar kukabidhiwa msaada wa dawa kutoka Serikali ya watu wa China.
  Picha na Makame Mshenga-Maelezo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: SERIKALI YA WATU WA CHINA YAKABIDHI MSAADA WA DAWA KWA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR WENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 420 Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top