728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, March 14, 2017

  RC MTWARA ATAJA SABABU ZA MKOA WAKE KUFANYA VIBAYA KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI MWAKA 2016 NA MATOKEO YA DARASA LA SABA .

  Mkuu wa mkoa wa Mtwara Halima Dendego ataja sababu zilizopelekea mkaoa huo kushuka kwa elimu mwaka 2016-17, katika matokeo ya kidato cha pili .ambapo shule 10 zilizofanya vibaya shule 9 zimetoka mkoani humo na matokeo ya darasa la saba ambapo mkoa huo ulikuwa wa pili kutoka mwisho.Hii hapa video yake.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RC MTWARA ATAJA SABABU ZA MKOA WAKE KUFANYA VIBAYA KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI MWAKA 2016 NA MATOKEO YA DARASA LA SABA . Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top