728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, March 30, 2017

  RC MAKALA APANIA KUBORESHA ELIMU MKOA WA MBEYA


  - Aandaa kongamano la Elimu Mkoa wa Mbeya
  - Ni mjadala wa wazi na wadau wa Elimu Kujadili changamoto za Elimu na mikakati ya kukabiliana nazo
  - Lengo ni kuongeza Ufaulu na kuboresha Elimu
  - Asema kushusha vyeo wakuu wa Shule siyo suluhisho kuna mambo mengine yapo nje ya uwezo wao
  Kwa umuhimu wa Elimu amewakaribisha wadau wa Elimu kujadili kwa kina changamoto zilizopo na kuweka Mikakati ya kuboresha elimu na hatimaye Mkoa wa Mbeya uwe Mkoa wa Mfano ikiwemo kufaulisha wanafunzi kwa kiwango cha juu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RC MAKALA APANIA KUBORESHA ELIMU MKOA WA MBEYA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top