728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, March 2, 2017

  RAY KUZINDUA FILAMU YAKE MPYA 'GATE KEEPER' KESHO QUALITY CENTER JIJINI DAR  Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii

  Msanii wa Bongo Movie , Vicent Kigosi 'Ray' kesho anatarajia kuzindua filamu yake mpya,itakayojulikana kwa jina la Gate Keeper katika ukumbi wa Sinema wa Quality Centre.

  Ray ambaye hajatoa filamu kwa kipindi cha zaidi ya mwaka mmoja,amesema kuwa filamu hiyo ni moja ya akzi zenye ubora wa hali ya juu katika soko la filamu ambazo azijawahi kutokea tangu aanze kazi hiyo.

  ametaja kuwa watu ambao ameshirikiana nao katika filamu hiyo ni Kajala Masanja, Single Mtambalike na Nicole Franklin .

  Amesema kuwa filamu hiyo imeandaliwa na Rj Production na kusimamiwa na kampuni ya Steps Entertiment,aidha ametaja kuwa kingilio katika uzinduzi huo ni shilingi 10000 kwakila mtu atakaye fika katika ukumbi huo wa Suncrest Cineplex Cinema.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RAY KUZINDUA FILAMU YAKE MPYA 'GATE KEEPER' KESHO QUALITY CENTER JIJINI DAR Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top