728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, March 28, 2017

  MHE. NAPE MOSES NNAUYE AKABIDHI RASMI OFISI KWA WAZIRI MWAKYEMBE


   Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Nape Moses Nnauye wakitia saini hati za makabidhiano rasmi ya Ofisi yaliyofanyika katika Ofisi za Wizara Mjini Dodoma akishuhudia makabidhiano hayo ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof Elisante Ole Gabriel.
  Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Nape Moses Nnauye wakibadilishana  hati za makabidhiano rasmi ya Ofisi yaliyofanyika katika Ofisi za Wizara Mjini Dodoma.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MHE. NAPE MOSES NNAUYE AKABIDHI RASMI OFISI KWA WAZIRI MWAKYEMBE Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top