728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, March 19, 2017

  MAULID YA KUMSALIA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) YAFANA SEGEREA MWISHO, DAR ES SALAAM

  Siku ya jumamosi ya 11 Machi 2017 katika viwanja vya Madrasat Rahman iliyopo Segerea Mwisho jijini Dar-es-salaam palikuwa hapatoshi kwa mkusanyiko wa waumini wa dini ya Kiislam waliokusanyika katika shughuli ya kisomo cha Maulid ya kumsalia mtume Muhammad (S.A.W). Shughuli hiyo ya Maulid ilifana sana kwa kuhudhuriwa na wingi wa waumini , wanazuoni na viongozi mbali mbali wa dini hiyo.
  Unaweza kujumuika nao katika at Rahman Madrasa Segerea

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAULID YA KUMSALIA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) YAFANA SEGEREA MWISHO, DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top