728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, March 17, 2017

  Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan amekutana na Waziri Mkuu Msumbiji Mbabane- Swaziland

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Waziri Mkuu wa Msumbiji Mhe. Carlos Agostinho do Rosario walipokutana na kufanya mazungumzo ya kikazi mjini Mbabane Swaziland leo March 17,2017
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan amekutana na Waziri Mkuu Msumbiji Mbabane- Swaziland Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top