728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, March 27, 2017

  MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AKUTANA NA MSAIDIZI WA MJUMBE WA JOPO LA UMOJA WA KIMATAIFA LA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI

   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Msaidizi wa Mjumbe wa Jopo la  Umoja wa Mataifa la Kuwezesha Wanawake Kiuchumi Bw. Shree Kant Kumar pamoja na kiongozi wa Chama cha Wanawake  Waliojiajiri (SEWA) Bi. Pushpa Rathod kutoka nchini India ambao walifanya ziara Tanzania Bara na Zanzibar katika vikundi mbali mbali vya wanawake wanaofanya shughuli zao za kiuchumi.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AKUTANA NA MSAIDIZI WA MJUMBE WA JOPO LA UMOJA WA KIMATAIFA LA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top