728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, March 18, 2017

  MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AHUDHURIA MKUTANO WA ASASI YA SIASA ULINZI NA USALAMA SADC

   
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, usiku huu anahudhuria Mkutano wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama unaojulikana kama SADC Double Troika, mjini Mbabane Swaziland. Mkutano ambao unajadili kwa kina hali tete ya usalama katika Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo( DRC) na Nchi ya Lesotho, ambapo Tanzania ni Mwenyekiti wa Asasi hiyo.

  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AHUDHURIA MKUTANO WA ASASI YA SIASA ULINZI NA USALAMA SADC Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top