728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, March 15, 2017

  MAKAMU WA RAIS AHANI MSIBA WA KAHAMA

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombolezo ya Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani wa kwanza katika serikali ya awamu ya kwanza, Sir George Kahama ,nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaam.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimfariji mjane wa Marehemu Sir George Kahama Bibi.Janet Bina nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS AHANI MSIBA WA KAHAMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top