728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, March 22, 2017

  MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI CHA MAURITIUS

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama usindikaji wa samaki katika kiwanda cha MER Des Mascareignes nchini Mauritius Machi 21, 2017.
  Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akitazama makasha yenye minofu ya samaki wakati alipotembelea kiwanda cha samaki cha MER Des Mascareignes nchini Mauritius Machi 21, 2017. Wapili kulia ni Waziri wa Fedha wa Zanzibar, Dkt. Khalid Salum Mohammed.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda cha samaki cha MER Des Mascareignes nchini Mauritius Machi 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI CHA MAURITIUS Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top