728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, March 23, 2017

  Mahojiano na Dj D-Ommy ndani ya Kilimanjaro Studios U.S.A


  Machi 16 2017, Mubelwa Bandio na Viola walipata nafasi ya kufanya mazungumzo na Dj D-Ommy katika studio za Kilimanjaro Studios.
  Dj D-Ommy ambaye alikuwa katika ziara ya kikazi nchini Marekani amezungumza mengi kuhusu maisha, kazi na tasnia nzima ya muziki.
  Pia akapata fursa kuzindua rasmi kifaa kipya cha kazi kwa studio yetu, Pioneer DDJ SZ2
  Karibu usikilize
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Mahojiano na Dj D-Ommy ndani ya Kilimanjaro Studios U.S.A Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top