728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, March 28, 2017

  MAFUNZO YA UJASILIAMALI KWA WANAWAKE YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM.

   Mkurugenzi  wa  Hope Art  Factory Hellen Tegga akizungumza katika mafunzo ya wanawake juu ya ujasiliamali  na kupaza sauti yaliyofanyika Millenium Tower jijini Dar es Salaam.
   Mratibu  wa Mfuko  Graca Machel , Manuel Akinyi akitoa mada katika mafunzo ya wanawake juu ya ujasiliamali  na kupaza sauti yaliyofanyika Millenium Tower jijini Dar es Salaam.
   Mkurugenzi  wa  Hope Art  Factory ,Hellen Tegga akimkabidhi cheti cha ushiriki wa mafunzo ya wanawake  ya Ujasiliamali  , Ainde Ndanshau yaliyofanyika katika ukumbi wa Milllenium Tower jijini Dar es Salaam.
   Mkurugenzi  wa  Hope Art  Factory ,Hellen Tegga akimkabidhi cheti cha ushiriki wa mafunzo ya wanawake  ya Ujasiliamali  ,  Mrcy Mchechu  yaliyofanyika katika ukumbi wa Milllenium Tower jijini Dar es Salaam.
  Washiriki wakiwa katika mafunzo ya wanawake yaliofanyika katika ukumbi wa Milleniumm Tower jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka, Globu ya Jamii)
  Picha ya pamoja.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAFUNZO YA UJASILIAMALI KWA WANAWAKE YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top