728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, March 7, 2017

  Maandalizi Ya TANZANIA DAY 2017 Dallas Texas  Aprili 29, 2016, Mstahiki Meya wa jiji la Dallas, jimbo la Texas aliitangaza rasmi siku hiyo kuwa SIKU YA TANZANIA.

  Na mwaka huu, Jumuiya ya waTanzania waishio jimboni humo kwa kushirikiana na Baraza la waTanzania waishio nchini Marekani (Diaspora Council of Tanzanians in America) wanaandaa maadhimisho makubwa ya siku hiyo yatakayofanyika katika jiji la Dallas.

  Viongozi Ben Kazora wa Jumuiya ya Dallas na Charles Bishota wa DICOTA wamezungumza na Mubelwa Bandio kuhusu maandalizi ya siku hiyo
  KARIBU USIKILIZE

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Maandalizi Ya TANZANIA DAY 2017 Dallas Texas Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top