728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, March 10, 2017

  MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU WA CCM YAKIENDELEA MJINI DODOMA

   Naibu katibu Mkuu CCM Bara,Ndugu Rodrick Mpogolo akimsikiliza Katibu Itikadi na Uenezi  Humphrey Polepole walipokuwa wakipanga mikakati kufanikisha mkutano mkuu wa CCM uatakaofanyika katika ukumbi wa mikutano, Dodoma leo
   Katibu Itikadi na Uenezi  Humphrey Polepole akiwa ameongozana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Jitegee,Bwa.Antony Machundewalipokuwa wakikagua maandalizi ya mkutanao Mkuu wa CCM,utakaofanyika mjini Dodoma
  Msaidizi wa Mwenyeikiti wa CCM Suleiman Mwenda akimuelekeza jambo  Naibu katibu Mkuu CCM Bara,Ndugu Rodrick Mpogolo walipokwenda kujionea maendeleo ya maandalizi ya ukumbi kwa ajili ya Mkutano mkuu wa CCM,unaotarajiwa kufanyika mjini Dodoma
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU WA CCM YAKIENDELEA MJINI DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top