728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, March 17, 2017

  MAAFISA MAWASILIANO SERIKALINI WAENDELEA KUNOANA KATIKA KIKAOKAZI MJINI DODOMA

   Mkurugenzi Idara ya Habari( MAELEZO) Dkt Hassan Abbasi akitoa mada katika kikao kazi cha maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea Mjini Dodoma Leo Marchi 17,2017. 
   Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na  Michezo Bibi Nuru Millao akifuatilia mada katika kikao kazi cha maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea Mjini Dodoma Leo March 17,2017.
   Baadhi ya Maafisa Mawasiliano Serikalini wakifuatilia mada katika kikao kazi cha maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea Mjini Dodoma Leo March 17,2017.Picha zote na Raymond Mushumbusi (WHUSM) Dodoma
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAAFISA MAWASILIANO SERIKALINI WAENDELEA KUNOANA KATIKA KIKAOKAZI MJINI DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top