728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, March 15, 2017

  Kivuko cha MV Sabasaba chaendelea kupiga mzigo

  Kivuko cha MV Sabasaba kinachotoa huduma ya kuvusha magari na abiria kati ya Kigongo na Busisi katika Ziwa Victoria kikiwa kinaelea katika ziwa hilo mjini Mwanza.
  Baadhi ya magari ya watu binafsi na mabasi ya abiria yakisubiri kuingia katika kivuko cha MV SENGEREMA kinachotoa huduma zake kati ya Kigongo na Busisi katika ziwa Victoria jijini Mwanza tayari kwa kuvuka kuelekea Kigongo kutokea Busisi.PICHA ZOTE NA ALFRED MGWENO TEMESA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Kivuko cha MV Sabasaba chaendelea kupiga mzigo Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top