728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, March 20, 2017

  KAMISHANA MPYA WA UHAMIAJI NCHINI AJITAMBULISHA KWA RAIS DK.SHEIN  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dkt.Anna Peter Makakala alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao.

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dkt.Anna Peter Makakala alipofika Ikulu Mjini Unguja kwa ajili ya kujitambulisha leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao [Picha na Ikulu.] 20/03/2017.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KAMISHANA MPYA WA UHAMIAJI NCHINI AJITAMBULISHA KWA RAIS DK.SHEIN Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top