728x90 AdSpace






 • Habari za hivi Punde

  Sunday, March 26, 2017

  JWTZ kuanza kulipa Deni wanalodaiwa na TANESCO

  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini Tanzania,  Jenerali Venance Mabeyo akizungumza na wanahabari kuhusu Jeshi hilo kuanza kulipa deni wanalodaiwa na Shirika la Umeme nchini TANESCO kuanzia siku ya kesho. Mkutano huo umefanyika katika Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi Ngome jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: JWTZ kuanza kulipa Deni wanalodaiwa na TANESCO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top