728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, March 30, 2017

  JAJI WARIOBA AONGOZA VIONGOZI NA WASOMI KUJADILI MAENDELEO YA VIWANDA NCHINI

   Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba akitoa mada katika mdahalo ulioandaliwa na REPOA juu ya mapinduzi ya Viwanda,Jana jijini Dar
   Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara , Profesa Adolf Mkenda akitoa ufafnuzi juu ya nini kifanyike katika kufikia malengo ya mapinduzi ya Viwanda nchini
   Mzee Butiku akifuatilia mjadala huo ambao ulikuwa wa aina yake
   Mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB nchini , Charles Kimei akizungumza namna mabenki yanavyoweza kutoa mchango mkubwa katika mapinduzi ya Viwanda nchini wakati wa mjadala ulioandaliwa na REPOA juu ya nini kifanyike kuelekea mapinduzi ya Viwanda kwa kushirikisha Tasisi,jana jijini Dar
   Waziri wa Fedha Mstaafu wa awamu ya nne ,Bazili Mramba akizungumzia juu ya nini kifanyike katika serikali kuu ili tuweze kufanikiwa katika maendeleo ya Viwanda
   Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara , Profesa Adolf Mkenda akiwa na baadhi ya washiriki mara baada ya kumalizika kwa mjadala huo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: JAJI WARIOBA AONGOZA VIONGOZI NA WASOMI KUJADILI MAENDELEO YA VIWANDA NCHINI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top