728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, March 22, 2017

  BOMOA BOMOA KANDO YA RELI YALIKUMBA ENEO LA KURASINI DAR

   Katapila likibomoa majengo ya Baa ya Pentagon  katika oparesheni ya bomoa bomoa nyumba zote zilizojengwa katika hifadhi ya Reli ya Kati eneo la Mivinjeni, Kurasini Dar es Salaam.
   Makontena ya biashara yakiwa yamefumuliwa na katapila
   Baa ya Pentagoni ikiwa imebomolewa 
   Katapila likiendelea na kazi ya bomoa bomoa

   Baadhi ya wafanyabiashara ndogo ndogo waliokuwa na vibanda vya biashara pamoja na wananchi wakishuhudia ubomoaji huyo
   Askari wakilinda doria wakati wa ubomoaji
  Wataalamu wakipima mita 20 kutka kwenye reli ili nyumba na mabanda yaliyo ndani ya hifadhi ya reli zibomlewe kupisha ujenzi wa reli ya kisasa.

  PICH ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG;0754264203
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: BOMOA BOMOA KANDO YA RELI YALIKUMBA ENEO LA KURASINI DAR Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top