728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, March 29, 2017

  BODI YA WADHAMINI YA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YAFANYA KIKAO CHAKE CHA KWANZA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

  Katibu wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Prof. Mohamed Janabi akisoma taarifa ya Taasisi katika kikao cha kwanza cha Bodi hiyo kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ambaye pia ni Daktari Bingwa wa upasuaji wa Magonjwa ya Moyo na mishipa ya damu Prof. William Mahalu.
  Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambaye pia ni Daktari Bingwa wa upasuaji wa Magonjwa ya Moyo na mishipa ya damu Prof. William Mahalu akiongoza kikao cha kwanza cha bodi hiyo kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam.
  Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia taarifa ya Taasisi hiyo iliyokuwa ikisomwa na Katibu ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Prof. Mohamed Janabi katika kikao cha kwanza cha Bodi kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam.

  Picha na Anna Nkinda – JKCI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: BODI YA WADHAMINI YA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YAFANYA KIKAO CHAKE CHA KWANZA LEO JIJINI DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top