728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, March 27, 2017

  BARAZA LA WAFANYAKAZI SEKTA YA UCHUKUZI LAKUTANA KUPATA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA BAJETI 2016/17


  Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa Sekta ya Uchukuzi, Dkt. Leonard Chamuriho (kushoto) akiongoza kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa sekta hiyo, kilichofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Mkoani Dodoma leo.
  Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa Sekta ya Uchukuzi, Dkt. Leonard Chamuriho (wa pili kulia) na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa sekta hiyo wakiimba wimbo wa ‘Solidarity’ kabla ya kuanza kikao cha taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2016/17 na mpango wa bajeti kwa mwaka 2017/18, kilichofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Mkoani Dodoma leo.
  Mkurugenzi wa Sera na Mipango (Sekta ya Uchukuzi), Bw. Gabriel Migire akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2016/17 na mpango wa bajeti kwa mwaka 2017/18, kwenye Baraza la Wafanyakazi lilichofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Mkoani Dodoma leo.
  Sehemu ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa sekta ya Uchukuzi wakisikiliza taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2016/17 na mpango wa bajeti kwa mwaka 2017/18, kwenye Baraza la Wafanyakazi lilichofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Mkoani Dodoma leo.

  Picha na Biseko Lisso Ibrahim WUUM (T)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: BARAZA LA WAFANYAKAZI SEKTA YA UCHUKUZI LAKUTANA KUPATA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA BAJETI 2016/17 Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top