728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, March 30, 2017

  BALOZI WA KUWAIT NCHINI MHE. JASEM AL-NAJEM NCHINI ATEMBELEA MAKAO YA TAIFA YA WATOTO YATIMA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAAM.


  Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al-Najem akizungumza na watumishi,watoto yatima katika Makao ya Taifa ya Watoto yatima Kurasini katika ziara ya kutembelea miradi mbalimbali jijini Dar es Salaaam.
  Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al-Najem akitembezwa kwenye viunga vya Makao ya Taifa ya Watoto yatima Kurasini jijini Dar es Salaam.
  Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al-Najem akipanda mti katika Makao ya Taifa ya Watoto Yatima Kurasini jijini Dar es Salaam.
  Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al-Najem akikabidhi bengu za mbogamboga, Afisa Mfawidhi wa Makao ya Taifa ya Watoto Yatima Kurasini,Beatrice Lawrance(kulia) leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Kamishina Msaidizi wa Ustawi-wa Jamii,Siman Panga
  Kamishina Msaidizi wa Ustawi-wa Jamii, Simon Panga akizungumza katika hafla ya kutembelea miradi mbalimbali katika Makao ya Taifa ya Watoto Yatima Kurasini jijini Dar es Salaaam.

  Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al-Najem akiwakatika picha ya pamoja katika Makao ya Taifa ya Watoto Yatima Kurasini jijini Dar es Salaam.
  Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al-Najem akitembezwa viunga vya Makao ya Taifa ya Watoto Yatima Kurasini jijini Dar es Salaam.
  Afisa Mfawidhi wa Makao ya Taifa ya Watoto Yatima Kurasini,Beatrice Lawrance(kulia)akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.ambapo alishukuru Ubalozi wa Kuwait nchini kwa msaada wa miradi mbalimbali na kuomba taasisi nyingine kuiga mfano huo ili kujenga taifa bora
  Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al-Najem akikagua mradi wa maji Makao ya Taifa ya Watoto Yatima Kurasini jijini Dar es Salaam. Picha zote na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: BALOZI WA KUWAIT NCHINI MHE. JASEM AL-NAJEM NCHINI ATEMBELEA MAKAO YA TAIFA YA WATOTO YATIMA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAAM. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top