728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, February 28, 2017

  MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA MKOA WA SIMIYU

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka aliyemtembelea Makamu wa Rais ofisini kwake leo.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka mara baada ya kumaliza mazungumzo ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es salaam.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka mara baada ya kumaliza mazungumzo ofisini kwake ,Ikulu jijini Dar es Salaam.

  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA MKOA WA SIMIYU Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top