728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, February 28, 2017

  MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHNA ANDENGENYE   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye, ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHNA ANDENGENYE Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top