728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, February 27, 2017

  MABESTE ATAJA SABABU YA KUKIMBIWA NA MARAFIKI ZAKE!!

  Mabeste ni rapper wa muziki in Tz  ambaye mpenzi wake anafahamika kama Lisa, Mungu mkubwa mbali na kupitia changamoto za hapa na pale ukweli penzi lao limedumu kwa muda mrefu kidogo.

  Moja kati ya mafanikio makubwa katika mahusiano yao Mabeste na Lissa walipata mtoto mmoja wa kiume 'Kendrick' and soon wanaweza kupata mtoto wa pili coz Lisa anakibendi kingine.Sio rahisi kama ambavyo unafikiria ku-maintain penzi, ndio maana relation nyingi za mastaa huishia kwenye maua.

  Mabeste amezitaja sifa za mpenzi wake BK ambazo zimepelekea kudumu kwa Relation hiyo, Sambamba na hilo ametaja sababu ya kukimbiwa na  marafiki zake pamoja na ndugu zake wa karibu baada ya Penzi la Mabeste na Lisa kuanza.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MABESTE ATAJA SABABU YA KUKIMBIWA NA MARAFIKI ZAKE!! Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top