728x90 AdSpace






 • Habari za hivi Punde

  Sunday, February 26, 2017

  KITUO CHA UTALII MKOA WA RUVUMA KUANDAA TAMASHA LA KUMTAFUTA MISS UTALII (BALOZI WA UTALII RUVUMA)

  Kituo cha utalii mkoa wa Ruvuma kinatarajia kuandaa tamasha la miss utalii mkoa wa Ruvuma, kwa kuwatumia wazawa kutoka wilaya za SONGEA,MBINGA,NYASA , TUNDURU na NAMTUMBO kwa lengo la kumpata balozi mmoja atakaye wakilisha kutangaza utalii uliopo katika mkoa wa huo.Hii hapa video yake.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KITUO CHA UTALII MKOA WA RUVUMA KUANDAA TAMASHA LA KUMTAFUTA MISS UTALII (BALOZI WA UTALII RUVUMA) Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top