728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, February 28, 2017

  KAMPUNI YA BINTI FOUNDATION YATOA VIFAA VYA SHULE KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MWANANYAMALA KISIWANI
  Mkurugenzi wa Taasisi ya Binti Foundation, Johari Sadiq, akimkabidhi vifaa vya shule Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Mwananyamala Kisiwani, Tuwaje Mohamed kwa ajili ya wanafunzi wanaosoma shuleni hapo ambao wanatoka katika familia duni. Wa pili kulia ni Caroline Magoti.

  Mkurugenzi wa Taasisi ya Binti Foundation, Johari Sadiq, akimkabidhi sare za shule, Esther Amon.

  Wanafunzi wakiwa darasani.

  Mkurugenzi wa Taasisi ya Binti Foundation, Johari Sadiq, akizungumza na waandishi habari wakati wa hafla hiyo.

  Mkurugenzi wa Binti Foundation, Johari Sadiq, akimkabidhi sare za Shule mwanafunzi wa Shule ya Msingi, Mwananyamala Kisiwani, Esther Amon, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu ya taasisi hiyo ya kusaidia wanafunzi wanaotoka katika familia duni ili waweze kupata vifaa vya shule.

  Mkurugenzi wa Binti Foundation, Johari Sadiq akikabidhi sare za Shule kwa baadhi ya wanafunzi wa naotoka katika familia duni wanaosoma katika Shule ya Msingi, Mwananyamala Kisiwani jijini Dar es Salaam.

  Pokeeni vifaa vya Shule.

  Mkurugenzi wa Taasisi ya Binti Foundation, Johari Sadiq, akiwakabidhi sare za shule baadhi ya wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Msingi Mwananyamala Kisiwani jijini Dar es Salaam, wanafunzi hao wanatoka katika familia duni.

  Mkurugenzi wa Taasisi ya Binti Foundation, Johari Sadiq, akiwaonesha kitu wanafunzi wa darasa la tatu Shule ya Msingi Mwananyamala.

  Wanafunzi wakipokea zawadi.
  Wanafunzi waliopata vifaa vya Shule wakiwa katika picha ya pamoja.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KAMPUNI YA BINTI FOUNDATION YATOA VIFAA VYA SHULE KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MWANANYAMALA KISIWANI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top