728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, February 26, 2017

  BALOZI WA UJERUMANI NCHINI TANZANIA, EGON KOCHANKE AZINDUA MAONYESHO YAITWAYO ‘’KUISHI NDANI YA SIMULIZI’’ YANAYOELEZEA ATHARI ZILIZOSABABISHWA NA VITA VYA MAJI MAJI KWA WAAFRIKA.

  Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania, Egon Kochanke akipewa maelezo na Mchoraji wa picha, Bw. Douglas Kahabuka katika Maonyesho ya kitalii ya kazi za sanaa na uvumbuzi wa kitaalamu juu ya Watanganyika waliokuwa wakipambana na Utawala wa Wajerumani, Onyesho hilo limepewa jina la ‘Kuishi Ndani ya Simulizi’ linahusisha vitu, michoro, picha za kuchora, filamu, vifaa na utafiti yaliyofanyika jana mjini Songea katika Jumba la Makumbusho ya vita vya Majimaji mjini Songea. Wengine ni Chifu wa kabila la Wangoni, Emmanuel Zulu akiwa pamoja na viongozi wenzake wa kabila la wangoni.
  Mtaalamu wa Tafiti za Historia, Lili Reyels (kulia) akimueleza Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania, Egon Kochanke ( wa tatu kushoto) ,kuhusiana na Maonyesho ya kitalii ya kazi za sanaa na uvumbuzi wa kitaalamu juu ya Watanganyika waliokuwa wakipambana na Utawala wa Wajerumani, Onyesho hilo limepewa jina la ‘Kuishi Ndani ya Simulizi’ linahusisha vitu, michoro, picha za kuchora, filamu, vifaa na utafiti yaliyofanyika jana mjini Songea katika Jumba la Makumbusho ya vita vya Majimaji. Wengine ni Chifu wa kabila la Wangoni, Emmanuel Zulu ( wa pili kulia) akiwa pamoja na viongozi wa Mila ya wangoni. 
  Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania, Egon Kochanke (kushoto) akiwa na Chifu wa Kabila la Wangoni, Emannuel Zulu ( wa kwanza kulia) akizungumza mara baada ya kupata maelezo kwa Mchoraji wa picha, Bw.Douglas Kahabuka (katikati) katika Maonyesho ya kitalii ya kazi za sanaa na uvumbuzi wa kitaalamu juu ya Watanganyika waliokuwa wakipambana na Utawala wa Wajerumani, Onyesho hilo limepewa jina la ‘Kuishi Ndani ya Simulizi’ linahusisha vitu, michoro, picha za kuchora, filamu, vifaa na utafiti yaliyofanyika jana mjini Songea katika Jumba la Makumbusho ya vita vya Majimaji. Wengine ni Chifu wa kabila la Wangoni, Emmanuel Zulu akiwa pamoja na viongozi wenzake wa kabila la wangoni.
  Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania, Egon Kochanke (kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa kabila la wangoni huku wakipeana mikono na Chifu wa Kabila la Wangoni, Emannuel Zulu (kushoto) mara baada ya kuzindua Maonyesho ya kitalii ya kazi za sanaa na uvumbuzi wa kitaalamu juu ya Watanganyika waliokuwa wakipambana na Utawala wa Wajerumani, Onyesho hilo limepewa jina la ‘Kuishi Ndani ya Simulizi’ linahusisha vitu, michoro, picha za kuchora, filamu, vifaa na utafiti yaliyofanyika jana mjini Songea katika Jumba la Makumbusho ya vita vya Majimaji. Wengine ni watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: BALOZI WA UJERUMANI NCHINI TANZANIA, EGON KOCHANKE AZINDUA MAONYESHO YAITWAYO ‘’KUISHI NDANI YA SIMULIZI’’ YANAYOELEZEA ATHARI ZILIZOSABABISHWA NA VITA VYA MAJI MAJI KWA WAAFRIKA. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top