728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, December 1, 2016

  WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI JIJINI ARUSHA TAYARI KUANZA ZIARA YAKE YA KIKAZI

   
   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Longido, Daniel Chongolo baada ya kuwasili jijini Arusha kuanza ziara ya kazi mkoani humo Desemba 1, 2016.Pichani kati ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mh.Mrisho Gambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
   Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Monduli, Iddi Kimanta baada ya kuwasili jijiniArusha kuanza ziara ya kazi Desemba 1, 2016.
   Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Catherine Magige  baada ya kuwasili jijiniArusha kuanza ziara ya kazi Desemba 1, 2016.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI JIJINI ARUSHA TAYARI KUANZA ZIARA YAKE YA KIKAZI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top