728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, December 2, 2016

  WAZIRI LUKUVI ARUDISHA ARDHI YA MKAZI WA KIGOMA KUTOKA KWA RAIA WA KONGO

  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Willam Lukuvi akiwa katika ziara ya Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi Mkoani Kigoma amerudisha ardhi iliyokuwa ikimilikiwa na Mzee Shaban Hussein mkazi wa Machinjioni Kigoma Mjini, ambaye alinyng’anywa na Raia wa Kongo Bwana Mwenge Muyombi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI LUKUVI ARUDISHA ARDHI YA MKAZI WA KIGOMA KUTOKA KWA RAIA WA KONGO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top