728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, December 1, 2016

  MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, PAUL MAKONDA ATOA SHUKRANI KWA MAKUNDI MBALIMBALI

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa shukrani kwa makundi mbalimbali, wakuu wa idara pamoja na wadau waliofanikisha ziara yake ya kutembelea Wilaya zote za mkoa wa Dar es Salaam kujionea kero zinazowakabili wananchi pamoja na kuzitolea Majibu. Picha zote na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, PAUL MAKONDA ATOA SHUKRANI KWA MAKUNDI MBALIMBALI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top