728x90 AdSpace






 • Habari za hivi Punde

  Friday, December 2, 2016

  MBUNGE RIDHIWANI AWANGOZA WANANCHI KUPIMA VIRUSI VYA UKIMWI


  Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akiwa katika kituo cha kupima na kutoa Elimu ya ugonjwa wa Ukimwi kilichopo Mdaula, Chalinze akitolewa damu kwa ajili ya kupima virusi vya HIV vinavyosababisha Ukimwi jimboni humo ikiwa ni siku ya Ukimwi Duniani.
  Mbunge Ridhiwani akizungumza na wananchi walijitokeza kituoni hapo hawapo pichani katika siku ya Ukimwi Duniani.Katika zoezi hilo watu walijitokeza i kupima wakiongozwa na Mbunge wao, watu watatu waligundulika kuwa na maambukizi virusi vya HIV kati ya watu 81 waliojitokeza kupima..
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MBUNGE RIDHIWANI AWANGOZA WANANCHI KUPIMA VIRUSI VYA UKIMWI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top