728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, November 10, 2016

  WIZARA YA AFYA ZANZIBAR KWA KUSHIRKIANA NA KITENGO CHA MARADHI YASIYOAMBUKIZA YAFANYIA VIPIMO VYA AFYA KWA WAFANYAKAZI WA WIZARA ZA SMZ KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA KISUKARI DUNIANI


  Wafanyakazi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakifanyiwa vipimo vya afya na wafanyakazi wa Kitengo cha maradhi yasiyo ambukiza kwa kushirikiana na Wizara ya Afya.
  Meneja wa kitengo cha maradhi yasiyoambukiza Zanzibar Omar Mwalimu akimpa ushauri Bi. Asha Makame Ali, mfanyakazi wa Wizara ya Elimu, baada ya kufanyiwa vipimo na kubainika kuwa uzito wake hauendani na urefu alionao.
  Muuguzi kutoka kitengo cha maradhi yasiyoambukiza akimfanyia vipimo vya afya Mussa Hassan Zyuma wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali .

  Mkurugenzi wa Idara ya Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Fadhil Muhammed Abdalla akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu ongezeko la maradhi ya kisukari na shindikizo la damu wakati wa kuwapima wafanyakazi wa Wizara hiyo.

  Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WIZARA YA AFYA ZANZIBAR KWA KUSHIRKIANA NA KITENGO CHA MARADHI YASIYOAMBUKIZA YAFANYIA VIPIMO VYA AFYA KWA WAFANYAKAZI WA WIZARA ZA SMZ KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA KISUKARI DUNIANI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top