728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, November 14, 2016

  WIZARA YA AFYA YAPEWA MSAADA WA VITANDA NA VYANDARUA

   Naibu Waziri  wa afya Maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangala wa pili kushoto akipokea  Msaada wa Vyandarua 100 kutoka kwa Mkurugenzi wa kampuni ya  Merck ya afrika ya kusini Stefan Maron wa tatu kushoto kwa ajili ya hospitali na vituo vya afya nchini wakati wa kukabidhiwa Vitanda hivyo,magodoro 50 navitanda 50.Picha Na Maelezo

   Naibu Waziri wa afyaMaendeleo ya jamii,jinsia,wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangala wa pili kushoto akipokea Masada wa vitanda 50 kutoka kwa Mkurugenzi wa kampuniya Merck ya afrika ya kusini Stefan Maron watatu kushoto kwa ajili ya hospitali na vituo vya afya nchini wakati wa kukabidhiwa Vitanda hivyo,magodoro 50 na vyandarua 100.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WIZARA YA AFYA YAPEWA MSAADA WA VITANDA NA VYANDARUA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top