728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, November 3, 2016

  WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA BALAOZI WA QATAR

  Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na watoto Ummy Mwalimu mapema leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar Abdullah Al Maadadi ofisini kwake na kuzungumza kuhusu masuala ya sekta ya afya(Picha na Wizara ya Afya).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA BALAOZI WA QATAR Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top