728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, November 9, 2016

  WAZIRI NAPE NNAUYE APOKEA VIFAA MBALIMBALI VYA MICHEZO TOKA KAMPUNI YA STAR TIMES TANZANIA LIMITED.


  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (aliyekaa katikati mbele) akiongea na Waandishi wa habari wakati wa hafla ya kupokea vifaa vya michezo toka Kampuni ya Star Times Tanzania Limited leo 9 November, 2016 katika ukumbi wa Wizara Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Bw. Leo.


  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Star Times Tanzania Bw. Leo (kushoto) akiongea na Waandishi wa habari wakati wa hafla ya kupokea vifaa vya michezo toka Kampuni yao ya Star Times Tanzania Limited leo 9 November, 2016 katika ukumbi wa Wizara 
  Jijini Dar es Salaam. 

  Mkurugenzi wa Mauzo wa Kampuni ya Star Times Tanzania Limited Bw. Juma Mchina Sharobaro (kushoto) akiongea na Waandishi wa habari wakati wa hafla ya kupokea vifaa vya michezo toka Kampuni yao ya Star Times Tanzania leo 9 November, 2016 katika ukumbi wa Wizara Jijini Dar es Salaam. 


  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kulia) akipokea vifaa vya michezo toka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Star Times Tanzania Limited Bw. Leo, 9 November, 2016 katika ukumbi wa Wizara Jijini Dar es Salaam.

  (Picha zote na Benedict Liwenga-WHUSM)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI NAPE NNAUYE APOKEA VIFAA MBALIMBALI VYA MICHEZO TOKA KAMPUNI YA STAR TIMES TANZANIA LIMITED. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top