728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, November 17, 2016

  WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA BALOZI WA JAMRURI WA KOREA HAPA NCHINI LEO

  Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Bw. Song, Geum-young alipomtembelea ofisini kwake mapema leo (17/11/2016) jijini Dar Es Salaam. Wengine pichani ni Msaidizi wa Balozi Bw. Song Wong (kulia) na Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Abdala Kirumbu (kushoto).
  Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Bw. Song, Geum-young alipomtembelea ofisini kwake leo (17/11/2016) jijini Dar Es Salaam.
  Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akiwaonesha Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Bw. Song, Geum-young na Msaidizi wake Bw. Song Wong ramani ya Mkoa wa Mbeya na kuwakaribisha kutembelea vivutio vya Mkoa huo ikiwemo Ziwa Nyasa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA BALOZI WA JAMRURI WA KOREA HAPA NCHINI LEO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top