WAZIRI MKUU MAJALIWA ATETA JAMBO NA MCHECHU WA NHC
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu kwenye chumba cha watu mashuhuri cha uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere jijini Dr es salaam Novemba 28, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa
Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Mchechu kwenye uwanja wa ndge wa
Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 28, 2016. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment