728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, November 2, 2016

  WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA NA MATUKIO BUNGENI DODOMA

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Waganga wa Tiba Asili Tanzania waliotembelea Bunge kwa mwaliko wa Makamu Mwenyekiti wao ambaye pia ni Mbunge wa Korogwe Vijijini, Stephene Hillary Ngonyani maarufu kwa jina la Profesa Maji Marefu, Novemba 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bunda, Esther Bulaya kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 2, 2016.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Kunti Majala kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wabunge kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA NA MATUKIO BUNGENI DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top