728x90 AdSpace


  • Habari za hivi Punde

    Tuesday, November 22, 2016

    WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMJULIA HALI BABA MZAZI WA WAZIRI MKUU MSTAAFU, MIZENGO PINDA

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo kati yake na Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda baada ya kuwasili kwenye hospitali ya mkoa wa Dodoma ambako alikwenda kumjulia hali baba mzazi wa Mh. Pinda, Mzee Xavery Kayanza Pinda Novemba 22, 2016. Kulia ni Paroko wa Kanisa Kuu Katoliki la Dodoma , Padri Wisi Onesmo na wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana.
    Waziri Mkuu, Kaasim Majaliwa akiongozana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kuelekea wodini wakati alipokwenda kwenye hospitali ya mkoa wa Dodoma kumjulia hali Mzee Xavery Kayanza Pinda ambaye ni baba mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu Novemba 22, 2016. Mzee Pnda amelazwa kwenye hospitali hiyo kwa matibabu.
    Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akiteta na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati alipokwenda kwenye hospitali ya mkoa wa Dodoma kumjulia hali Mzee Xavery Kayanza Pinda ambaye ni baba mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu Novemba 22, 2016. Mzee Pinda amelazwa kwenye hospitali hiyo kwa matibabu.
    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati alipokwenda kwenye hospitali ya Mkoa wa Dodoma kumjulia hali baba mzazi wa Mh. Pinda, Mzee Xavery Kayanza Pinda Novemba 22, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMJULIA HALI BABA MZAZI WA WAZIRI MKUU MSTAAFU, MIZENGO PINDA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
    Scroll to Top