728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, November 25, 2016

  WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CCM ,NDUGU KINANA JIJINI DAR LEO
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikarishwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo na Katibu mkuu huyo wa CCM, leo.

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kwenda eneo la kufanyia mazungumzo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.


  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungmza na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO- theNkoromo Blog
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CCM ,NDUGU KINANA JIJINI DAR LEO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top